Home » , » KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVES

KICHANGA CHAOKOTWA KIKIWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVES

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, October 25, 2012 | 6:49:00 PMBaadhi ya wananchi waliojitokeza kuuangalia mwili wa kichanga hicho
Hizi ni picha tulizozipata kwenye mtandao wa Jamii Forum zikiwa na maelezo: MAJONZI, HUZUNI, NA SIMANZI ZIMETAWALA LEO MAENEO YA KIJENGE JUU KATA YA KIMANDOLU ILIYOKO MKOANI ARUSHA BAADA YA KITOTO KICHANGA KUKUTWA KIMETUPWA CHINI YA MLIMA KIVESI. 

Hakuna maelezo kuwa kichanga hicho kinekutwa hai kwakuwa mtu aliyeweka picha ametumia maneno kama ‘mwili’ wa mtoto huyo kumaanisha kuwa hakuwa hai. .

Mtoto mwenye umri wa siku moja wa jinsia ya kike akiwa amewekwa kwenye ndoo na kutupwa


Afisa wa polisi akiuchukua mwili wa mtoto huyo uliofungwa na kanga na kutolewa na msamaria mwema muda mfupi baada ya kutaarifiwa kuhusu tukio hilo

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts