Home » , » DIVA WA CLOUDS FM AENDLA NA VITISHO VYA KUTAKA KUJIUA

DIVA WA CLOUDS FM AENDLA NA VITISHO VYA KUTAKA KUJIUA

Written By JUMA MPEKUZI on Tuesday, November 13, 2012 | 9:18:00 AM


Jana mtangazaji wa Clouds FM Loveness aka Diva aliandika ujumbe mkali unaoashiria kuwa anataka kujiua.

“Am so Angry and Am so f****n Disappointed. Disappointed wit Everything that surrounds me. So freakin tired!. Neither Or,” aliongeza.

Baadaye alitweet meseji hii ambayo kila mtu alishindwa kuelewa anamaanisha nini, “6283. Thats the very secret number.”

Na kisha, “Sijakula toka Juzi and have to catch my classes in 20mins mpaka usiku, have to go to work. Someone needs to bring me food serious.

Jana si mara ya kwanza kwa mtangazaji huyo kutweet meseji za aina hiyo kwani  November 10 alitweet, “If i die today. Gonna miss my sisters so bad. They are my life. My Everything. My Lito Bro Brian, u wil always b my Lito hero. Fam, few friends. Will always lov u but thats how it is. No more to say.”


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts