Home » , , » HII NDO VIDEO YA WACHAWI WALIODONDOKA NA UNGO, WAKAPIGWA NA KUCHOMWA MOTO KIKATILI

HII NDO VIDEO YA WACHAWI WALIODONDOKA NA UNGO, WAKAPIGWA NA KUCHOMWA MOTO KIKATILI

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, November 10, 2012 | 8:32:00 AMINASIKITISHA mno kuiangalia video hii lakini hatuna budi kuujua ukweli. Tukio hili linahusisha wachawi wanne (wawili wanawake na wawili wanaume) walipodondoka na ungo walipokuwa katika harakati za kwenda kuroga kwenye nyumba za watu .


Taarifa zaidi zinaseama kuwa wachawi hao walidondoka mara baada ya kile kinachhonekana kuwa ni upinzani kutoka kwa wengine wenye nguvu kuliko wao kuidondosha ndege yao(UNGO) kwenye mishale ya saa kumi ALFAJIRI.

 
Kilisikika kishindo kizito sana wakati wa mwanguko huo na hivyo kupelekea wanachi ambao ni majirani wa hapo karibu kuanza kutoka nje kushuhudia ni nini kimetokea na ndipo walipopigwa na butwaa pale walipowakuta wachawi hao wanne wakiwa wamedondoka chini huku wakiwa hawana nguvu tena ya kupaa!!

 
 Wananchi walizidi kuongezeka mno na hivyo kujaza umati katika eneo hilo.


Habari zinadai kuwa mara baadaya kukamatwa wachawi hao walikusanywa na kuwekwa mbele ya hadhara ya watu na kuanza kushambuliwa na watu wenye hasira kali.

 

HATIMA ya wachawi hao ilifika pale wananchi hao waliwamwagia mafuta na kuwateketeza mpaka walipofariki.


 
**********ANGALIA VIDEO YENYEWE HAPO CHINI******

video
                      Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts