Home » , » "WASANII HUJITAKIA UMASIKI WENYEWE MAANA WANAPENDA KUENDEKEZA STAREHE"......CHUCHU HANS

"WASANII HUJITAKIA UMASIKI WENYEWE MAANA WANAPENDA KUENDEKEZA STAREHE"......CHUCHU HANS

Written By JUMA MPEKUZI on Tuesday, November 20, 2012 | 11:12:00 AM


MSANII wa filamu anayetokea mkoani Tanga, Chuchu Hans, amesema kuwa suala la umaskini kwa wasanii huwa linakuja kwa kujitakia kwani walio wengi wanashindwa kufanya kazi kuweka akiba ya pesa na badala yake wakipata chochote kidogo wanashinda wakifanya ufuska na uzinzi.

Chuchu
alisema kuwa inawezekana wengi wanajisahau na kuamini kuwa kila siku watakuwa wanapata pesa, na ndiyo maana kila kile kidogo wanachokipata wanakitumia kwa hasara bila kujua siku ya kesho itakuwaje.

‘Sidhani kama mashabiki wetu wanakuwa wanatuelewa wanapotuona tukifanya starehe na anasa kila siku, umaskini tunajitakia kwa sababu endapo tukiwa na tabia ya kujiwekea akiba si dhani maisha duni yatakuja tena kikubwa ni kujipanga na kuacha kujisahahu,”
aliongeza.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts