Home » , » KERI HILSON NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MWEZI UJAO KWA SHOW BAAB KUBWA...!!!

KERI HILSON NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM MWEZI UJAO KWA SHOW BAAB KUBWA...!!!

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, November 17, 2012 | 3:14:00 PMTanzania mko tayari kumshuhudia hit-maker wa Knock You Down mrembo Keri Hilson? Kama bado basi mashabiki wake anzeni kuuchanga mdogo mdogo sababu the diva is dropping to the land of Kilimanjaro next month!! We ain’t tripping at all sababu Keri amethibitisha mwenyewe jana habari hizi kwenye ukurasa wake wa Twitter:Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts