Get the latest updates from us for free

Home » » RIPOTI FUPI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI- TANZANIA

RIPOTI FUPI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI- TANZANIA

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, December 31, 2012 | 3:01:00 PM


Matokeo rasmi ya sensa yametoka. Idadi ya Watanzania ni milioni arobaini na nne nukta tisa. (44.9million).


Matokeo hayo yametangazwa leo katika viwanja vya Mnazimmoja jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa matokeo ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012.

Jumla: 44,929,002. TZ Bara 43,625,434 na Zanzibar 1,303,568

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts