Home » » APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SHs. 100 YA MAJI

APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SHs. 100 YA MAJI

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, January 28, 2013 | 12:14:00 PM


MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts