Get the latest updates from us for free

Home » , » DIAMOND AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA WOLPER

DIAMOND AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA WOLPER

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 11, 2013 | 3:28:00 PM


Diamond Amekanusha Uvumi kuwa anamahusiano ya Kimapenzi na Jaqueline Wolper Nakusema Kuwa Picha zilizo onyweshwa kwenye magazeti ni za video ya Keisha 'Nimechoka' aliyo Shirikishwa Diamond.

 Plantnumz amesema video shoot ya wimbo huu ilianza Miezi miwili iliyopita na kuja kukamilika wiki Mbili zilizo pita na ndio scene ya video hio inamuonyesha akiwa karibu na Wolper.

Pia Diamond amesema Msichana yoyote atakaye sema ni Girl Friend wake kwa sasa Ni Muongo kwani yeye yupo single kwa sasa na hana mpango wa kutangaza Mpenzi wake atakaye mpata. 
 
Hivi karibuni Diamond Alikaririwa na sammisago akisema `Simba akiwa Karibu na Swala, Watu wanadhani Anamla, Ila Kuna Muda Simba Anashiba'

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts