Home » » HUKO “NUNGWI” MASHUA NYINGINE YAZAMA MCHANA WA LEO....WATU 11 HAWAJAPATIKANA

HUKO “NUNGWI” MASHUA NYINGINE YAZAMA MCHANA WA LEO....WATU 11 HAWAJAPATIKANA

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, January 31, 2013 | 7:56:00 PM


 kama ingekuwa nchi kavu tungesema eneo la nungwi ni sawa na eneo hatari kama vile mlima kitonga au sekenke,kwani mchana wa leo limetokea lingine la kutokea hukohuko nungwi…

Jahazi la clouds fm likafanya juhudi za kumtafuta kamanda wa polisi wa mkoa wa kaskazini unguja.. ACP ahmad khamis abdallah amezungumza jinsi ajali hiyo ilivyotokea
"ajali imetokea baina ya Nungwi na Tanga, na tayari tmeshapokea badhi ya watu, tumepokea 21 ambao ni wazima, hakuna maiti iliyopatiokana mpaka sasa, na waliokuwemo kwenye chombo walikua jumla ya watu 32, khiyo ni kusema watu 11 mpaka sasa hawajapatikana." amesema Ahmad Khamis

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts