Home » , » IRENE KANKA: MREMBO ANAYEONGOZA KUPIGA MKWANJA KWA KUUZA SURA KATIKA MITANDAO MIKUBWA

IRENE KANKA: MREMBO ANAYEONGOZA KUPIGA MKWANJA KWA KUUZA SURA KATIKA MITANDAO MIKUBWA

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, January 12, 2013 | 2:58:00 AMMafanikio yoyote huja kwa mipangilia na maandalizi.Hivyo ndivyo ninavyoweza kumzungumzia Irene Kanka "19" ambae aliwahi kuwa mshindi namba nne kwenye kinyang'anyilo cha kumtafua Miss Temeke 2011.
 IRENE KANKA.......
IRENE KAKA...

Irene ni mtoto wa tatu kati ya watoto watano kwenye familia ya mzee Kanka inayoiishi Singida.Mrembo huyo kwa sasa anaongoza kupiga mkwanja mrefu kwenye dili za matangazo kwenye mitandao mikubwa kama Voda Com,Tigo na Airtel na kampuni nyinginezo.

IRENE KATIKA POZI...

Irine licha ya kupiga bao kazi hiyo ya kuuza sura kwenye matangazo lakini pia amemudu vyema kuigiza hali inayowatia hofu mastaa wakubwa kwenye fani hiyo.


Mrembo huyo ameonesha maajabu kwenye filamu ya June 26 kiasi cha kuwachanganya "Directors" na kumtabilia nyota njema 2013 kuwa huenda akawafunika mastaa wa kike kama Jackline Wolper,Irene Uwoya,Wema Sepetu na wengineo.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts