Get the latest updates from us for free

Home » , » JOSEPH MBILINYI ( MBUNGE WA MBEYA) IJUMAA ATAKUWA MGENI RASIMI KATIKA UFUNGUZI WA INTERNET CAFE YA IZZO B

JOSEPH MBILINYI ( MBUNGE WA MBEYA) IJUMAA ATAKUWA MGENI RASIMI KATIKA UFUNGUZI WA INTERNET CAFE YA IZZO B

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 4, 2013 | 12:07:00 AMMbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.


Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.

Akiongea na mtandao huu , Izzo amesema katika uzinduzi huo utakaoanza saa 8 mchana hakutakuwa na performance yoyote bali watafungua champagne za kutosha.
photo(2)
photo


"Kesho mungu akisaidia ntafanya ufunguzi rasmi wa Internet cafe yangu iliyopo MBEYA chuo Cha Teofilo kisanji(TEKU) NA Mgeni rasmi atakuwa MH:Joseph mbilinyi mbunge wa mbeya...

Kama uko MBEYA na unataka kushuhudia uzinduzi wa ufunguzi wa Internet cafe yangu iliyopo chuo Cha teku MBEYA utakaofanywa na Mh: Joseph Mbilinyi mbunge wa MBEYA Mjini unaweza kuja hakuna kiingilio muda ni saa Nane Mchana...karibuni".....Izzo b

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts