Home » » KIWANDA CHA CHEMICOTEX-AFRICANA, DAR CHATEKETEA KWA MOTO JIONI HII

KIWANDA CHA CHEMICOTEX-AFRICANA, DAR CHATEKETEA KWA MOTO JIONI HII

Written By JUMA MPEKUZI on Wednesday, January 30, 2013 | 7:15:00 PM


Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.

Wadau wetu  wakiwa katika eneo la tukio wametutumia  picha hizi.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts