Home » , » LADY JAYDEE AENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUUPANDA MLMA KILIMANJARO.....

LADY JAYDEE AENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUUPANDA MLMA KILIMANJARO.....

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, January 10, 2013 | 12:06:00 PMLeo ni siku ya nne ya safari ya Lady Jaydee na mume wake Gadner kuupanda Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa picha kutoka kwenye blog ya kilidovetour wanaiongoza safari hiyo, wote wanaonekana kuwa ngangari wasiokuwa na hata chembe moja ya kurudi nyuma.
DSC01402 (640x480)
Safari si nyepesi!!Safari si nyepesi!!
DSC01443 (640x480)
GadnerGadner
Iron lady!!Iron lady!!
Hakuna kurudi nyumaHakuna kurudi nyuma
Binti KomandoBinti Komando
DSC01496 (640x480)
DSC01497 (640x480)
Jide, Gadner na mpiga picha waoJide, Gadner na mpiga picha wao
Bado tuko gadoBado tuko gado
DSC01512 (640x480)
Gadner na Jide wakipumzika kidogo kupata hewaGadner na Jide wakipumzika kidogo kupata hewa
DSC01516 (640x480)


Maendeleo ya safari yao:

January 8 – Mandara Hut(2700m) – Horombo Hut(3720m)
Masaa ya kutembea: 5
January 9: Acclimatization Day at Horombo Hut
Masaa ya kutembea: 4
January 10: Horombo Hut(3720m) – Kibo Hut(4703m)
Masaa ya kutembea: 5
Baadaye leo waanza safari ya kuelekea Uhuru Peak(5895m) kupitia Gillman’s point(5685m)


Hali zao kiafya

Gadner, Lady Jaydee na mpiga picha wao Justin wako fit na wana uwezo wa kuendelea hadi kituo kinachofuata.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts