Home » , , » MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B

MH. JOSEPH MBILINYI AZINDUA RASMI INTERNET CAFE YA IZZO B

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 4, 2013 | 5:09:00 PMMbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu leo alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya rapper Emmanuel ‘Izzo B’ Simwinga.


Ofisi hiyo iitwayo Izzo Bizness Internet Cafe & Secretarial Bureau ipo TEKU University jijini Mbeya.
izo 1
izo 2

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts