Home » , » MILIONI 20 ZAHITAJIKA ILI LULU MICHAEL AWEZE KUPATA DHAMANA HAPO KESHO

MILIONI 20 ZAHITAJIKA ILI LULU MICHAEL AWEZE KUPATA DHAMANA HAPO KESHO

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, January 24, 2013 | 1:48:00 PM


Taarifa za uhakika na  mpya  kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho january 25 2013.

Uhakika wa Lulu kupata dhamana ulikua jana jumatano january 23 lakini ikawa imeshindikana kutokana na kuahirishwa kwa sababu jaji alipata dharura na pia kiwango cha pesa za dhamana kilikua hakijatimia.

Chanzo cha kuaminika kilichoongea na millardayo kimesema dhamana ya kumtoa Lulu ambae amekua chini ya ulinzi kuanzia April 2012 ni milioni 20 za kitanzania.

Lulu amekua akishikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya mwigizaji Steven Kanumba.....
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts