Get the latest updates from us for free

Home » , , » MPOKI NA HEMEDY NDANI YA FILAMU YA COMEDY IITWAYO----- 90 MINUTES

MPOKI NA HEMEDY NDANI YA FILAMU YA COMEDY IITWAYO----- 90 MINUTES

Written By JUMA MPEKUZI on Wednesday, January 9, 2013 | 8:20:00 PMMuigizaji wa filamu nchini, Hemedy Suleiman aka PHD hivi karibuni ataingia location kushoot filamu mpya iliyopewa jina la 90 Minutes (Dakika 90).Katika filamu hiyo ya comedy, Hemed ataigiza na Mpoki.


“Nimepewa movie inaitwa 90mnts..soccer comedy movie!!…mimi captain team ya mabishoo…mpoki captain team ya wagumu…daaah!!najiona RONALDO,” alitweet PHD.

Akijibu swali  kuhusu wasanii gani wengine wataokuwa kwenye filamu hiyo na lini wataanza kushoot, Hemedy alijibu, “ndio casting inatengenezwa…so far hiyo ndio info najua from the producer..More info will alert you..location February.”

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts