Get the latest updates from us for free

Home » , » MWILI WA MAREHEMU SAJUKI UMEKWISHA ZIKWA......MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

MWILI WA MAREHEMU SAJUKI UMEKWISHA ZIKWA......MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 4, 2013 | 2:56:00 PM Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu 
Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.
Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar
 Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi
  Hapa ndipo sajuki amelala! May his soul R.I.PAdvertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts