Get the latest updates from us for free

Home » » NDEGE YA RAIS WA MALAWI YAPIGWA MNADA

NDEGE YA RAIS WA MALAWI YAPIGWA MNADA

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, January 28, 2013 | 3:42:00 PMSerikali ya Malawi leo imetangaza kuwa inaiuza ndege ya Rais wa nchi hiyo Joyce Banda katika jitihada zake kukusanya mapato inayoyahitaji.Ndege hiyo yenye miaka 15, nzima NA inauzwa kwa dola milioni 13.3.


Ndege hiyo ni aina ya Dassault Falcon 900EX, imetengenezwa mwaka 1998 na ina seats 14.Rais wa zamani wa Malawi hayati Bingu wa Mutharika aliinunua ndege hiyo miaka mitano iliyopita licha ya nchi hiyo kukabiliwa na umaskini mkubwa.

Kipindi hicho Mutharika alisema ndege hiyo ilikuwa rahisi kuihudumia licha ya nchi hiyo kutegemea misaada ya karibu nusu ya bajeti yake.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts