Home » » NIGERIA YARIPOTIWA KUWA MAKAO MAKUU YA "DINI INAYOMUABUDU SHETANI"

NIGERIA YARIPOTIWA KUWA MAKAO MAKUU YA "DINI INAYOMUABUDU SHETANI"

Written By JUMA MPEKUZI on Tuesday, January 15, 2013 | 11:10:00 PM


Taarifa iliyoripotiwa january 15 2013 imeeleza kwamba kwa sasa Nigeria imeteuliwa kuwa makao makuu ya dini inayomuabudu shetani.

Nigeria, Ghana na South Africa ndio nchi zinazotajwa kuongoza kwa kuwa na waumini wengi wa dini inayomuabudu shetani Afrika.

Imeelezwa kwamba kuteuliwa kwa Nigeria kuwa makao makuu ndio sababu nyingine pia ya mauaji na umwagaji damu unaoendelea kwa sasa.

Inaaminika damu na kafara za kuuwa ndugu wakiwemo wazazi na jamaa wa karibu ndio sadaka muhimu ya dini hiyo, umeripoti mtandao wa IRL.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts