Get the latest updates from us for free

Home » , » "SIJAGAWA PENZI KWA MUDA WAMIAKA KADHA..." MWASITI WA BONGO MOVIE

"SIJAGAWA PENZI KWA MUDA WAMIAKA KADHA..." MWASITI WA BONGO MOVIE

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, January 3, 2013 | 10:24:00 AM


MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mwasiti Mohamed ‘Shishi’ amefunguka  kuwa hajakutana na mwanaume kwa takribani miaka mingi iliyopita. 

 Shishi anadai kuwa tangu agombane na mpenzi wake ambaye hakumtaja miaka mingi iliyopita, hadi leo hamjui mwanaume.
 “Haah! Aisee ni miaka mingi kwa kweli sijaduu, kila nikikumbuka yule mwanaume alivyonizingua, sikutamani tena tendo la ndoa,” alisema Shishi.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts