Get the latest updates from us for free

Home » , » "SITAMALIZA SIKU 7 NITAKUWA NIMEAGA DUNIA"....HAYA YALIKUWA NI MANENO YA MWISHO YA SAJUKI KWA ROMA

"SITAMALIZA SIKU 7 NITAKUWA NIMEAGA DUNIA"....HAYA YALIKUWA NI MANENO YA MWISHO YA SAJUKI KWA ROMA

Written By JUMA MPEKUZI on Wednesday, January 2, 2013 | 3:50:00 PMKupitia ukurasa wake wa Facebook rapper wa 2030, Roma Mkatoliki amesimulia maneno ya mwisho aliyoambiwa na marehemu Sajuki.


NINACHOKUMBUKA SHOW YA MWISHO ARUSHA YA KUMCHANGIA SAJUKI!!TUKIWA CHUMBANI KWAKE MIMI, WASTARA, DJ CHOKA, YUSUPH MLELA NA WENGINEO, SAJUKI ALIMSHIKA MLELA MKONO HUKU AKIMTAZAMA KWA HUDHUNI NA AKAMWABIA:

“SITAMALIZA SIKU 7 NITAKUWA NIMEIAGA DUNIA” 


ILIKUWA HARD TYM SANA KWETU NA WENGI TULILENGWA NA MACHOZI KWA KAULI ILE!!

LEO LIMETIMIA LILE NENO…oooh god mfutie dhambi zake na muepushe na adhabu za huko!! nasisi tupate somo kuwa maisha yanaweza yakabadilika within a second!!Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie na apumzike kwa amani!!! poleni sana marafiki wenzangu.

Msiba wa sajuki upo nyumbani kwake maeneo ya tabata bima, na marehemu sajuki anategemewa kuzikwa siku ya ijumaa hii .yote ni kuwasubiri ndugu kutoka mkoani Ruvuma..

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts