Get the latest updates from us for free

Home » , » TASWIRA MBALIMBALI TOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI....

TASWIRA MBALIMBALI TOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI....

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 4, 2013 | 11:43:00 AMMazishi ya msanii mahiri wa tasnia ya filamu Juma Issa Kilowoko ‘Sajuki’ aliyefariki dunia juzi yanatarajiwa kufanyika leo mchana katika makaburi ya Kisutu baada ya sala ya Ijumaa. 

Akiongea na mtandao huu, mwenyekiti wa kamati ya mazishi Steve Nyerere amesema kuwa msiba huu unasimamiwa na shirikisho na wasanii wa filamu na wadau wa tasnia hiyo.

Kamati ya mazishi ikiteta jambo na  Kiongozi wa shilikisho la filamuKamati ya mazishi ikiteta jambo na Kiongozi wa shilikisho la filamu
Stive Nyerere akipokea mchango wa mazishi kutoka chuo cha filamu cha Pastor MyambaStive Nyerere akipokea mchango wa mazishi kutoka chuo cha filamu cha Pastor Myamba
Wasanii wa filamu wakiwa wamekaa kimya wakisikiliza jambo kutoka kwa Uongozi wa shilikisho la FilamuWasanii wa filamu wakiwa wamekaa kimya wakisikiliza jambo kutoka kwa Uongozi wa shilikisho la Filamu
Kiongozi wa shilikisho la filamu akitoa mawili matatu kwa wasanii wa filamuKiongozi wa shilikisho la filamu akitoa mawili matatu kwa wasanii wa filamu
Mdau akitoa mchango wa mazishiMdau akitoa mchango wa mazishi
Mdau akitoa mchango wa mazishiMdau akitoa mchango wa mazishi

Waigizaji wakiwa na uzuni
Viongozi wa kamati ya mazishi wakijaliana jambo na wadau wa filamuViongozi wa kamati ya mazishi wakijadiliana jambo na wadau wa filamu
Mdau wa filamu akitoa pole na kuwafariji ndugu wa marehemuMdau wa filamu akitoa pole na kuwafariji ndugu wa marehemu
Waigizaji wa filamu wakiwa wamekaa kwa uzuniWaigizaji wa filamu wakiwa wamekaa kwa huzuni
wasanii wa filamu wasanii wafilamu
Baadhi ya wasanii wakiwa katika pozi la uzuniBaadhi ya wasanii wakiwa katika pozi la uzuni
Waigizaji wa filamuWaigizaji wa filamu


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts