Home » , » TENGA AUKIMBIA "URAIS" WA TFF

TENGA AUKIMBIA "URAIS" WA TFF

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, January 14, 2013 | 4:17:00 PMRais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodegar Tenga amesema hawezi kugombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho hilo unaotarajia kufanyika February 24 mwaka huu.


Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Tenga amesema wakati anaingia madarakani miaka minne iliyopita alikuwa na kazi ya kufanya, ambayo ilikuwa ni kujenga taasisi ya soka nchini, na kwamba hawezi kuendelea tena kwani uongozi ni kijiti na kwamba huu sasa wakati wa kukimbizwa na mtu mwingine.

“Nimekaa madarakani kwa miaka minane kwakweli ni miaka mingi sana,tangu mwaka 2004 ambapo wakati huu kulikuwa na ajenda maalum ya kuleta mabadiliko ya msingi katika soka”alisema Tenga.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts