Get the latest updates from us for free

Home » » UKUTA WA KITUO CHA MABASI UBUNGO WANGUKIA MAGARI...

UKUTA WA KITUO CHA MABASI UBUNGO WANGUKIA MAGARI...

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, January 21, 2013 | 12:21:00 PM


 Baadhi ya magari yaliyoangukiwa na ukuta.
 Magari mbalimbali yakiwa chini ya kifusi.
 Gari aina ya Noah likiwa limegandamizwa na zege.
 Hii ndiyo hali halisi ya tukio lilivyokuwa.
 Gari aina ya Toyota likiwa limebonyezwa na zege.
 Watu wakiangalia magari yao.
 Kenyela akiongea jambo juu ya ajali hiyo.
 likuwa ni hasara tupu.
 Hali ilikuwa ni mbaya katika zahama hiyo ya alfajiri ya leo.
---------------------------------
 
SEHEMU ya ukuta wa kituo cha mabasi ya kwenda mikoani cha Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo alfajiri  umeanguka na kuyaharibu vibaya magari  zaidi ya ishirini yaliyokuwa yameegeshwa nje ya eneo hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Charles Kenyela alisema kuwa idadi ya magari yaliyopatwa na ajali hiyo yanakadiriwa kufikia 24 ambapo watu watatu wanasemekana wamejeruhiwa.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts