Home » , » VIDEO YA YALIYOMKUTA LULU MICHAEL AKIWA MAHAKANI LEO.....

VIDEO YA YALIYOMKUTA LULU MICHAEL AKIWA MAHAKANI LEO.....

Written By JUMA MPEKUZI on Monday, January 28, 2013 | 10:17:00 PM


Furaha ya msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kurejea uraiani baada ya mahakama kuu Dar es salaam kuridhia kupewa dhamana imeyeyuka kutokana na kurejeshwa rumande licha ya kukidhi vigezo vya dhamana vilivyotolewa na mahakama hiyo kutokana na kutokuwepo kwa msajili wa mahakama aliyetakiwa kupitia vielelezo vya dhamana.
Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts