Home » , » WAPEWA KICHAPO CHA MBWA BAADA YA KUNASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA.....

WAPEWA KICHAPO CHA MBWA BAADA YA KUNASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA.....

Written By JUMA MPEKUZI on Wednesday, January 9, 2013 | 4:08:00 AM


wananchi wakiwazonga na kuwapa kichapo

Nitukio la kusikitisha sana..kama unavyoona ni mwanaume mwenye mke na watoto akiwa amefumwa akivunja  amri  ya sita  na mwanamke mwenye familia na watoto....
 WAZINZI WAKIPELEKWA  POLISI.....

Wananchi  wenye  hasira kali  walipa  kichapo  kikali  ili  liwe fundisho  kwa  wengine hapo  mtaani.....

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts