Home » , » WEMA SEPETU AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU IITWAYO "ENDLESS FAME FILM"

WEMA SEPETU AANZISHA KAMPUNI YAKE YA FILAMU IITWAYO "ENDLESS FAME FILM"

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, January 12, 2013 | 2:00:00 PM
Kupitia mtandao wa kijamii wa picha wa Instagram, Wema Sepetu ameshare picha za kwanza zinazoonesha logo ya kampuni yake iitwayo Endless Fame Films. “Nawaomba mzidi niombea nifike nnapotaka endless fame ifike… Inshallah,” ameandika mrembo huyo.

Tunakutakia kilala heri Wema Sepetu....

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts