Get the latest updates from us for free

Home » , » WEMA SEPETU APEWA SHAVU LA KUENDESHA TOP 20 YA CHOICE FM

WEMA SEPETU APEWA SHAVU LA KUENDESHA TOP 20 YA CHOICE FM

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, January 5, 2013 | 8:51:00 AM


WEMA  SEPETU  siku ya Leo mchana anatakuwa live akitangaza.... 

Hii itakuwa ni Mara Ya kwanza kwa Wema sepetu kuwasha kipaza sauti na kuendesha show Ya redio kwa masaa mawili...

 Maybe hii itakuwa ni mwanzo wa sauti yake kusikika redioni.... Hebu tune to Choice Fm today 102.6 Fm ili toe  kama  Anaiweza hii kazi


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts