Get the latest updates from us for free

Home » » YULE MWANAJESHI ALIYEPIGA PICHA NA GODBLESS LEMA AKAMATWA NA KUTIWA NGUVUNI

YULE MWANAJESHI ALIYEPIGA PICHA NA GODBLESS LEMA AKAMATWA NA KUTIWA NGUVUNI

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, January 4, 2013 | 8:40:00 AMKushoto ni mwanajeshi huyo akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa nguvuni, kulia ni picha alipopiga akiwa na Waheshimiwa wabunge, Lema na Nassari.

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. 


Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts