Home » , » MADEE AJIPANGA KUTOKA NA "POMBE YANGU"

MADEE AJIPANGA KUTOKA NA "POMBE YANGU"

Written By JUMA MPEKUZI on Thursday, February 7, 2013 | 2:22:00 PMRapper na member wa Tip Top Connection, Madee amepanga kufanya kitu cha tofauti kwa mwaka huu kwa kuachia ngoma aliyoipa jina, “Pombe Yangu”.


Akizungumza kwenye E-Newz ya EATV kuhusiana na jina la wimbo huo ambalo limezua maswali na utata mkubwa amesema,” Ngoma hii ambayo ipo katika mtindo wa Kwaito ni kwaajili ya ku-party na inaelezea mazingira ya marafiki ambao wanakutana sehemu kwaajili ya kufurahia kinywaji”.

Hata hivyo Madee amesisitiza kuwa yeye binafsi huwa hanywi pombe ila anafurahia kukaa mazingira ambayo kuna watu wanaopiga mtungi.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts