Home » , , » MSHIRIKI WA BIG BROTHER WA MWAKA JANA TANZANIA ADAI KUWA "T.I.D" ANAFAA ZAIDI MWAKA HUU

MSHIRIKI WA BIG BROTHER WA MWAKA JANA TANZANIA ADAI KUWA "T.I.D" ANAFAA ZAIDI MWAKA HUU

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, February 2, 2013 | 11:56:00 AMMwakilishi wa Tanzania wa mwaka jana katika shindano la Big Brother Africa Julio amesema TID anaweza kuwa mwakilishi mzuri kwenye shindano hilo mwaka huu.


Julio alisema hayo jana wakati alipokuwa akitambulisha ngoma aliyoshirikishwa na Lucci, Waters Up kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM na ndipo alipoulizwa nani anafaa kushiriki katika shindano hilo mwaka huu.

“TID anafaa sana katika mashindano ya Big brother kwasababu ni mcheshi pia ni mtu mwenye sifa zote za kushiriki shindano hilo la Big Brother, ” alisema Julio.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts