Home » » "SIDHANI KAMA USHIRIKINA UNAFAIDA KATIKA MUZIKI"...POMMY DIMPOZZ

"SIDHANI KAMA USHIRIKINA UNAFAIDA KATIKA MUZIKI"...POMMY DIMPOZZ

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, February 8, 2013 | 9:36:00 PMBaada ya taarifa kuenea katika mitandao kuhusu Diamond anatumia mganga wa jadi katika kazi zake za muziki....

Leo kupitia Clouds Fm double XXL katika jiwe la wiki rafiki yake wa karibu 'Ommy Dimpoz' aliweza kusema kwa upande wake hadhani kama vitu vya ushirikina vinaleta faida katika upande wa muziki na wala hajawahi kujihusisha navyo maishani mwake.

Swali:Mara ya mwisho baada ya kukutana na Diamond Platinum hamjawahi kuzungumzia mambo ya ushirikina"Kusema kweli mara mwisho nakumbuka nilikutana naye na tukazungumzia kuhusu show yangu lakini mambo mengi hatujazungumza.Ommy Dimpoz alisema


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts