Home » , » VIDEO YA SEHEMU YA PILI YA TAMTHILIA YA "SIRI YA MTUNGI"

VIDEO YA SEHEMU YA PILI YA TAMTHILIA YA "SIRI YA MTUNGI"

Written By JUMA MPEKUZI on Saturday, February 2, 2013 | 1:48:00 PM


"Siri ya Mtungi" ni tamthilia ya televisheni inayofurahisha, inayoonyesha maisha ya Cheche, mpigapicha mwenye bashasha na mmiliki wa Studio ya Kupiga Picha ya Mtungi. Ana mke mrembo, Cheusi, aliyemzalia watoto wawili wenye afya na huku akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts