Home » , » WEMA SEPETU ACHUKUA FORM YA KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA

WEMA SEPETU ACHUKUA FORM YA KUSHIRIKI BIG BROTHER AFRICA

Written By JUMA MPEKUZI on Friday, February 1, 2013 | 4:00:00 PMTaarifa kutoka ofisi za DSTV jijini Dar es Salaam zinadai kuwa aliyekuwa Miss Tanzania mwaka 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu alikuwa katika ofisi hizo kuchukua fomu za kushiriki shindano la Big Brother Africa mwaka huu.


Wema ni miongoni mwa mastaa nchini wanaopendekezwa zaidi kuiwakilisha Tanzania mwaka huu. Mwingine anayependekezwa zaidi ni Khaleed Mohamed aka TID

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts