Get the latest updates from us for free

Home » » Picha: TRA Wanaipiga mnada Range Rover Evoque 504 Ya Wema Sepetu

Picha: TRA Wanaipiga mnada Range Rover Evoque 504 Ya Wema Sepetu

Written By Bigie on Saturday, April 2, 2016 | 5:55:00 PM


Unaikumbuka ile Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jana?
Well, inaweza kuwa yako iwapo unaweza kuwa na takriban shilingi milioni 200 za kumwaga sababu TRA wanaipiga mnada!
 
Picha hapo juu Range Rover Evoque ya Wema Sepetu ikiwa kwenye yard za TRA ikipigwa mnada
 
TRA wanaishikilia gari hiyo kwasababu iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi na kwakuwa ushuru wake ni takriban nusu ya gharama yake, Wema ameshindwa kuikomboa.
 
Kuna tetesi ziliwahi kuandikwa kuwa gari hilo hata hivyo alipewa kama zawadi na pedeshee wa Kongo anayedaiwa pia kuwahi kuwa na uhusiano na Jacqueline Wolper.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts