Home » , » Post za Nusu Utupu za Gigy Money Instagram Zazua Utata

Post za Nusu Utupu za Gigy Money Instagram Zazua Utata

Written By Bigie on Saturday, April 2, 2016 | 6:30:00 PM


Mwanadada mahiri kwenye ung’arishaji wa video za wasanii [Video Vixen] Gigy Money asiyeishiwa vituko ameendelea kuwapa wakati mgumu followers wake na kuzua hisia tofauti kwenye mitandao ya kijamii kwa kupost picha za nusu utupu.
 
Hizi ni baadhi ya picha alizopost hivi karibuni akionesha assets zake.
gigy2 gigy3 gigy5
gigy
Tazama video clip aliyopost akicheza muziki wa kisingeli huku akitingisha msambwanda

Video alizong’arisha bibie huyu hivi karibuni ni pamoja na I Get High’ ya Godzilla na Shika Adabu Yako’ ya Nay Wa Mitego. Hivi karibuni aliweka wazi kuwa dau lake kuonekana kwenye video ya msanii si chini ya milioni moja.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts