Home » » John Legend Afurahia Kuwa Baba.

John Legend Afurahia Kuwa Baba.

Written By Vuvuzela on Friday, May 20, 2016 | 1:28:00 PM

Maisha huwa ni mazuri pindi unapokipata kitu unachokitaka.Kwa sasa maisha ya John Legend na mkewe, Chrissy Teigen yanaonekana kuwa na furaha zaidi tangu walipofanikiwa kupata mtoto wa kike, Luna Simone mwezi uliopita. Wawili hao wameonekana kwenye mitaa ya New York City wakizunguka huku John Legend akiwa amembeba Luna.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts