Home » » Tanzia: Askari wa Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli Auawa kwa Kupigwa Risasi.

Tanzia: Askari wa Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli Auawa kwa Kupigwa Risasi.

Written By Vuvuzela on Friday, May 20, 2016 | 8:36:00 PM

Watu wasiojulikana wakiwa na pikipiki aina ya Boxer,usiku wa kuamkia leo wamemuuwa kwa kumpiga risasi kadhaa katika sehemu mbalimbali za mwili wake Askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, Ally Kinyogoli nyumbani kwake Mwandege, Mkuranga mkoani Pwani.

Baada ya kumuua, watu hao walitokomea kusikojulikana bila kuchukua kitu chochote

Kinyogoli alijizolea umaarufu katika kipindi cha redio One kila siku asubuhi alipokuwa akitoa taarifa za hali za barabarani zikiwemo njia zenye foleni kwa wakazi wa jijini.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts