Home » » VIDEO: Exclusive ya Mbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond

VIDEO: Exclusive ya Mbunge Goodluck kasema na wanaoponda kauli yake ya sanamu ya Diamond

Written By Vuvuzela on Friday, May 20, 2016 | 9:51:00 PM

Baada ya headlines nyingi kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kauli ya Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga alipokuwa akichangia katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo May 13 2016 na kusema...

"Ingekuwa amri yangu tungechonga sanamu la Diamond tukaliweka kwenye mnara wa Askari, ule mnara tumeuchoka. Ametufikisha mbali na ameitangaza nchi yetu huko mbele"

AYO TV imemtafuta leo na kufanya naye Exclusive interview ambapo hapa anaelezea kwanini alitoa kauli ile na anachotaka watu wamuelewe…


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts