Get the latest updates from us for free

Home » » Lil Wayne adaiwa kumpiga ngumi baunsa kwenye party ya tuzo za BET

Lil Wayne adaiwa kumpiga ngumi baunsa kwenye party ya tuzo za BET

Written By Vuvuzela on Wednesday, June 29, 2016 | 6:40:00 PM

 Mtandao wa udaku wa TMZ umeripoti kuwa kuna baunsa anasema alipigwa ngumi na Lil Wayne wakati watu wake walipozuiliwa kuingia ndani.

Timu ya Wayne imekanusha taarifa hizo na imesema baunsa huyo alimshika vibaya Lil Wayne kwenye mkono wake na ndipo walipotofautiana.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts