Get the latest updates from us for free

Home » » Makamu wa Rais Mhe.Samia Hassan,Azungumza na Watanzania Waishio Guinea

Makamu wa Rais Mhe.Samia Hassan,Azungumza na Watanzania Waishio Guinea

Written By Vuvuzela on Saturday, June 4, 2016 | 8:34:00 AMMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papur New Guinea katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea Baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa uliomalizika Jana. 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea zawadi ya Picha yenye Nembo inayotumika Nchini Papua New Guinea kutoka kwa Wazee na Watanzania wanaoishi Nchini Papur New Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa uliomalizika Jana. 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania wanaoishi Nchini Papur New Guinea baada ya kuzungumza nao katika ukumbi wa Airways Hotel mjini Guinea alipokamilisha ziara yake ya kikazi ya kumwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika mkutano wa nane kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific uliojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa uliomalizika Jana.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts