Home » » Wabunge wa UKAWA watoa mpya....sasa Watoka nje ya Bunge wakiwawamevaa Nguo Nyeusi na huku wameshika Mabango

Wabunge wa UKAWA watoa mpya....sasa Watoka nje ya Bunge wakiwawamevaa Nguo Nyeusi na huku wameshika Mabango

Written By Vuvuzela on Thursday, June 30, 2016 | 11:00:00 AM


Baada ya Naibu Spika Dk Tulia Ackson kuingia bungeni na kuongoza dua ya kuliombea Bunge,Wabunge hao walianza kunyanyua mabango mbalimbali na kutoka nje.

 Wabunge hao wameingia bungeni wakiwa wote wamevalia nguo nyeusi walipohudhuria kikao cha 54 cha Bunge la Bajeti mjini Dodoma.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts