Home » » Zuu (Jike Shupa) aelezea jinsi Shilole alivyogeuka adui

Zuu (Jike Shupa) aelezea jinsi Shilole alivyogeuka adui

Written By Vuvuzela on Monday, June 27, 2016 | 8:59:00 AM


Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea.Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts