Home » » Aliyekuwa Mbunge wa zamani Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo (CCM),Kuzikwa kesho

Aliyekuwa Mbunge wa zamani Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo (CCM),Kuzikwa kesho

Written By Bigie on Wednesday, July 6, 2016 | 2:09:00 PM


Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo Shelukindo Mbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika kesho siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.
 
Mazishi yatafanyika kesho saa tisa alasiri pale pale eneo la  Oloirien jijini Arusha.

Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa.
Jina la Bwana Lihimidiwe.
AMEN

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts