Home » » Aliyekuwa mtangazaji ITV akiwa ofisini baada ya kuteuliwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni tayari ameanza kutekeleza majukumu yake.

Aliyekuwa mtangazaji ITV akiwa ofisini baada ya kuteuliwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni tayari ameanza kutekeleza majukumu yake.

Written By Bigie on Wednesday, July 6, 2016 | 8:19:00 AM


Baada ya kuteuliwa na Rais Magufuli kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, aliyekuwa mtangazaji maarufu wa ITV Godwin Gondwe aliapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga na mara moja ameanza kutekeleza majukumu yake.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts