Home » » ‘Belle 9’- Umaarufu wa Masogange umetokana na mimi

‘Belle 9’- Umaarufu wa Masogange umetokana na mimi

Written By Bigie on Sunday, July 10, 2016 | 12:17:00 PM


Msanii wa RnB Abednego Damian ‘Belle 9’, amesema umaarufu wa mkali wa kunogesha video za wasanii, Agnes Gerald ‘Masogange’, umetokana na wimbo wake wa ‘Masogange’.

Belle 9 alisema huwa anaamini kipaji cha mtu ndio maana wengi aliowashirikisha katika nyimbo zake wamepata umaarufu mkubwa.

“Nimefanya kazi na wasanii wasiotambulika akiwemo Masogange na wamepata umaarufu mkubwa pia nimefanya kazi na maprodyuza wengi wasiojulikana lakini baada ya kazi hizo wamejulikana, hivyo huwa sidharau uwezo wa mtu ninachoangalia ni ubora wa kazi zake na si jina lake hata kama ni chipukizi,” alisema.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts