Home » » Diamond asherehekea Kidogo kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4

Diamond asherehekea Kidogo kufikisha views milioni 1 ndani ya siku 4

Written By Vuvuzela on Sunday, July 17, 2016 | 3:07:00 PM


Diamond Platnumz anasherehekea mafanikio ya video ya wimbo wake mpya, Kidogo. Ndani ya siku nne, video ya wimbo huo aliowashirikisha P-Square imefikisha views zaidi ya milioni moja kwenye mtandao wa Youtube. Staa huyo hakusita kusherehekea hatua hiyo na mashabiki wake:

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts