Home » » Harmonize Atupiwa Dongo na Riser Stardia

Harmonize Atupiwa Dongo na Riser Stardia

Written By Vuvuzela on Friday, July 29, 2016 | 7:47:00 AM

 
Msanii chipukizi maarufu kwa  jina Riser Stardia amefunguka mengi sana kumuhusu msanii chipukizi aliye chini ya label ya WCB .
 
 
Riser alisema "kiukweli kutokana na staili ambayo msanii huyo amekua akiitumia katika kufikisha ujumbe kwa jamii ni staili ambayo imembeba japo amekuwa akifata nyendo za mkubwa wake yaani Diamond plutnums, hivyona tumia nafasi yangu kumshauri msanii huyo kuwa ni kweli game anaweza ila anapaswa kubadili staili anayoitumia ili wadau wake waweze kumuelewa vizuri zaidi."
 
Nje na hayo msanii Riser anategemea kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la 'Nisachi' ambayo kafanya na producer LOLLY POP, kwahiyo  dogo huyo kasema ivi karibuni wadau mkae tayari kuipokea video hiyo mpya.

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts