Home » » Ikulu Yakanusha Taarifa Zilizoenea kuhusu Rais Magufuli kumteua Jerry Murro kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu

Ikulu Yakanusha Taarifa Zilizoenea kuhusu Rais Magufuli kumteua Jerry Murro kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu

Written By Vuvuzela on Monday, July 18, 2016 | 7:54:00 AM


Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya mawasiliano imekanusha habari hizo na kusema kuwa sio za kweli.

Barua iliyoandikwa kutoka Ikulu imesema ‘kuna taarifa zimesambazwa zikisema kuwa Rais Magufuli amemthibitisha Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu huku msaidizi wake akiwa ni aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro, taarifa hizo sio za kweli na wananchi wazipuuze'
 

Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts