Home » » Maduka kibao ya filamu Kariakoo yafungwa, TRA yataka mikataba ya usambazaji

Maduka kibao ya filamu Kariakoo yafungwa, TRA yataka mikataba ya usambazaji

Written By Vuvuzela on Friday, July 29, 2016 | 10:10:00 AM


Maduka mengi yanayouza filamu katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, yamefungwa baada ya mamlaka ya mapato Tanzania, TRA kuwataka wamiliki waoneshe mikataba ya usambazaji wa filamu hizo za nje.

Filamu hizo zinadaiwa kutolipiwa ushuru. Kwa mujibu taarifa ya Channel 10, baadhi ya maduka yamefunguliwa nusu huku wamiliki wakifanya biashara kwa kuibia.


Advertisement
hapa

Post your Comment

Habari Mpya

Popular Posts